JINSI YA KUTENGENEZA ANDROID APPLICATION
Android ni mfumo (operating system) ambao ni maarafu sana kwa kuwa umefanikiwa kutumiwa kwenye vyombo vya kielectroniki kama simu, saa, tv, laptops, tablet na hata kwenye magari ya kisasa pia utakuta android.
Hii ina maanisha kama wewe una ndoto za kuwa android developer basi hujakosea kufanya maamuzi maana android ni mfumo ambao unatumiwa ulimwenguni kote na una endelea kukua kwa kasi kubwa na kutapakaa kwenye vitu vingi vya kielectroniki.
Ili kuweza kutengeneza Android app basi unapaswa kujua Java pamoja na XML(Extensible Markup Language). Wengi wetu tukishasikia tu Java basi tunakata tamaa. Lakini hutakiwi kuogopa maana Google wanajaribu kila siku kurahisisha utengenezaji wa android app. Pia Google wana website inayo toa mafunzo jinsi ya kutengeneza android app pamoja na mifano mingi ambayo itakusaidia wewe kuweza kutengeneza app yako. Unaweza tembelea hiyo website kwa kutumia link chini
https://developer.android.com/index.html
Leo tutaangalia mambo yanayoitajika ili kuweza kutengeneza android apps.
Kama unataka kuendelea na hili somo bonyeza Part 2 chini

Computer
Ili uweze kutengeneza android app unaitaji computer ambayo ina uwezo au sifa zifuatazo.Kama unataka kuendelea na hili somo bonyeza Part 2 chini
No comments:
Post a Comment