Showing posts with label ubunifu. Show all posts
Showing posts with label ubunifu. Show all posts

Saturday, 28 September 2019

huawei mate 20x simu janja sokoni

Dunia nzima inafahamu vuta nikuvute/vikwazo ambavyo Huawei Technologies imekuwa ikikumbana navyo kwa miezi kadhaa kitu ambacho kimechelewesha kuingia sokoni kwa bidhaa mbalimbali hasa zinazotumia 5G.

Tulishaandika mara kadha kuhusu Huawei na simu janja zenye teknolojia ya 5G ingawa zilikuwa bado hazijaingia sokoni mpaka kumi la pili kwa mwezi Julai; Huawei Mate 20X yenye 5G ilitakiwa kuzinduliwa mwezi Juni huko Uingereza lakini kutokana na sababu mbalimbali hilo halikuwezekana. Hata hivyo, inaonekana mambo yameanza kuinyookea kampuni husika kwani simu hiyo imeingia sokoni UK na Umoja wa falme za Kiarabu (UAE).


Je, sifa zake ni zipi?

Huawei Mate 20X (5G) ni simu ambayo bado uzinduzi wake haujafanyika ingawa tayari sifa muhimu zimeshafahamika:
Kipuri mamaBalong 5000 (ndio inayowezesha teknolojia ya 5G kwenye simu husika)
Urefu wa kioo: inchi 7.2 (OLED)
Memori: RAM-GB 8, diski uhifadhi-GB 256
Kamera: Nyuma zipo 3-MP 40, MP 20 na MP 8. Mbele ipo moja-MP 24

Betri: 4200mAh na teknolojia ya kuchaji haraka kiwango cha 40W
Mtandao+Programu endeshi: GSM / HSPA / LTE / 5G. Itakuwa inatumia Android 9
Huawei Mate 20X
Huawei Mate 20X (5G) ambayo pia inatumia kalamu janja.

Mpaka sasa rununu (simu janja) husika imeingia sokoni kwenye nchi za Falme za Kiarabu kwa $960|Tsh. 2,246,400. Kiujumla simu husika itazinduliwa Julai 22 2019, Julai 26 itazinduliwa nchini Uchina na itauzwa $1,240|Tsh. 2,901,600.

Monday, 23 October 2017

JINSI YA KUTENGENEZA FOLDER LISILOWEZA KUFUTIKA.



Hii kutokana nawatu wengi kuniuliza swala hili
Watu wengi wamekuwa wakipata shida sana pale wanapohifadhi kitu kwenye folder na kukuta watu wamelifuta moja kwa moja either kwa bahati mbaya au kwa makusudi Mkiwa Darasan,chuo au nyumbani. Kama wewe ni mmoja wapo unakumbana na tatizo kam hili Don worry am here to show yu hw yu can solve dis problem. fata maelekezo yangu kwa umakini njia hii aiijataji software ya aina yoyote.
HATUA ZA KUFUATA.
1:Bonyeza button ya window na R kwenye kompyuta yako.(Faster faster).
2::Andika cmd kwenye kibox kitakachotokea.(Baada ya step 1 utakiona).
3:Utaona kipage cheusi chenye maandishi meupe.(Hicho ndio tunakiita cmd yaani command prompt).
4:Andika drive amayo unataka hilo folder likae kwa mfano ni local disk E utaliandika kama hivi E: Then press Enter.(Usije ukaliweka kwenye local disk C).
5:Atua inayofata andika hizi code kama zilivyo na upige Enter
md con\
hapo utakuwa umetengeneza FOLDER ambalo mtu hataweza kulifuta hata afanye nini. (Utalikuta limeandikwa con
Kwenye local disk utakayokuwa umeachagua.
Somo litakalo fata namna utakavyoweza kusoma SMS za Fiance wako bila kulog in kwenye Acc yake.
No automatic alt text available.
LITAKALO MGUSA NDIO MLENGWA. Usisahau kuuliza patakapo kushinda Pia unaweza kulike,kucomment na kushares unisaidie kutoa huduma kwa watu.THINKING IS MY HOBBYJINSI YA KUTENGENEZA FOLDER LISILOWEZA KUFUTIKA.
Hii kutokana nawatu wengi kuniuliza swala hili inbox
Watu wengi wamekuwa wakipata shida sana pale wanapohifadhi kitu kwenye folder na kukuta watu wamelifuta moja kwa moja either kwa bahati mbaya au kwa makusudi Mkiwa Darasan,chuo au nyumbani. Kama wewe ni mmoja wapo unakumbana na tatizo kam hili Don worry am here to show yu hw yu can solve dis problem. fata maelekezo yangu kwa umakini njia hii aiijataji software ya aina yoyote.
HATUA ZA KUFUATA.
1:Bonyeza button ya window na R kwenye kompyuta yako.(Faster faster).
2::Andika cmd kwenye kibox kitakachotokea.(Baada ya step 1 utakiona).
3:Utaona kipage cheusi chenye maandishi meupe.(Hicho ndio tunakiita cmd yaani command prompt).
4:Andika drive amayo unataka hilo folder likae kwa mfano ni local disk E utaliandika kama hivi E: Then press Enter.(Usije ukaliweka kwenye local disk C).
5:Atua inayofata andika hizi code kama zilivyo na upige Enter
md con\
hapo utakuwa umetengeneza FOLDER ambalo mtu hataweza kulifuta hata afanye nini. (Utalikuta limeandikwa con
Kwenye local disk utakayokuwa umeachagua.
Somo litakalo fata namna utakavyoweza kusoma SMS za Fiance wako bila kulog in kwenye Acc yake.
For my proposal... Do it if yu are experiencing with this problem.
#Apendae maarifa upenda kujifunza
#Waibina_programmer
#by__IT_technician
#ananiaybina@gmail.com
#.Niwatakie matokeo mema all ma Hommyz.
LITAKALO MGUSA NDIO MLENGWA. Usisahau kuuliza patakapo kushinda Pia unaweza kulike,kucomment na kushares unisaidie kutoa huduma kwa watu.THINKING IS MY HOBBY

Sunday, 22 October 2017

USHAA IONA HII SASA WAWEZA KUTUMIA SIMU YAKO YA MKONONI KAMA REMORT CONTROL YA TV AU VIFAA VINGINE

KALI%2Bcopy
New Trick
Habari za wakati huu msomaji wa Blog yako pendwa ya DODY BLOG ! Katika mfululizo wa makala za wiki hii, leo tutaangalia jinsi ya KUTUMIA  simu yako hio ya SmartPhonekama Mouse ya kompyuta.

FAIDA
>>>Hii inaweza kukusaidia pale ambapo hauna Mouse kwa ajili ya compyuta yako, au TouchPad ya Laptop yako haifanyi kazi! Yani inasumbua!

MAHITAJI
>>Utahitajika kuinstall program na App ntakazokupa hapa chini! Unaweza kutumia Apps mbalimbali na step ni hizihizi. Host file utaiinstall kwenye kompyuta yako na App utaiweka kwenye simu yako, halafu utaunga compyuta yako kwenye wireless ya simu yako au bluetooth! (Lengo la kuunga ni kuweka mawasiliano kati ya simu na kompyuta). kwa hio unaweza kutumia Bluetooth au Wireless! Zote ni sawa ila hapa nitaelezeaWireless.

HATUA KWA HATUA

1.  Download na install Monect kwenye simu yako HAPA!

2
Install Monect Portable


2. Kwenye PC yako download na install Monect Host kwa kuclik HAPA! File lina MB 28 tuu, kwa hio usiwasingizie Voda. Download na extract vilivyopo kwenye hio Zip File, na chagua lililoandikwaMonectHost, na uliinstall.


3
Download Host


KUMBUKA; Wakati unadownload hio host file, pc yako inaweza kukwambia kwamba hilo file ni Malicious,weka chagua keep file, ili kuweza kuendelea na step za mbele. See picture here>

4
Chagua Keep

>Na pia windows firewall inaweza ikakupa alert, we chagua Allow Access.

5
Allow Access

3. 
Hakikisha simu na kompyuta yako umeviunganisha kwa Wi-fi. Kwenye simu nenda Setting>>>Mobile Networks>>>Tethering and Portable Hotspot, weka settings hapo then iweke ON, na uiunge kwenye PC yako.

4. Tufanye sasa kompyuta na simu yako zipo kwenye Wireless moja, na hio MonectHost umeifungua kwenye kompyuta yako, ifungue ile Monect App ya simu na chagua/click Search Host,ikitokea IP adressya PC yako Connect. Kama unaijua IP ya compyuta yako, unaweza kuiingiza moja kwa moja. Kama inakataa ku connect, jaribu ku restart kompyuta yako na uhakikishe MonectHost umei install vizuri.

6
IP itaonekana ya PC yako

5. Ikishakuwa connected utaona options mbalimbali 12. Kila moja ina kazi yake, leo tutatumia Touch Pad,sababu ndio lengo la makala hii. Tazama picha hapa chini.

7
Options mbalimbali

6. Touch Pad inaifanya simu yako kuwa kama ile Mouse ya Laptop (TouchPad) na inakuwa sehemu ya kutembeza vidole, ku right click, ku scroll ,a ku select kama mouse ya kawaida. Kwa hio ifanyie mazoezi na utakuwa na uwezo wa kuitumia kwa umbali wowote ambapo Wireless itakuwa bado ipo connected.

8


7. Pia kuna options mbalimbali ambazo unaweza pia kuzitumia hapo.

9
Jifunze kuzitumia zote hizi

Kumbuka utaalamu huu umeletwa kwenu kwa ushirikiano wa Technology Homesite na Slaus Technologies Tz1 Team, na kama una swali usisite kutuandikia hapo chini kwenye comments, au wasiliana nasi kwaa njia hizi HAPA!

SOMA MAKALA NYINGINE KAMA HIZI HAPA!

Monday, 16 October 2017

SIMU KALI TANO AMBAZO UNAWEZA KUNUNUA SASA HIVI


Mdaa mwingine huwa ni vigumu sana kuchagua simu maana zipo simu nyingi sanaa sokoni lakini ni shida sanaa kujua ipi ni bora kushinda nyingine. Leo nitataja simu tano tu ambazo zina ubora kila kona.

HUAWEI MATE 9



Kiukweli Huawei wanajitahidi sana kutoa simu nzuri na zenye bei nafuu sanaa. Huawei Mate 9 ni moja ya simu nzuri sana na inakuja na android 7 (nougat) kutoka kwenye box. Hii simu ina urefu wa 156.9mm, upana wa 78.9mm na uzito wa 190g.

Kioo chenye ukubwa wa 5.9" FHD Display. Kwa wale ambao hawajui maana ya FHD ni FULL HIGH DEFINITION . 4GB RAM.. jamani... 64GB ukubwa wa ndani au kwa kizungu internal storage. Pia kwa wale wanaopenda kuweka memory card basi utaweza kuweka memory yenye ukubwa hadi kufikia 256GB. Camera ya nyuma ina 20 Megapixels na ya mbele ina 8MP halafu unaweza kurecord video za 4K.... Mambo ya ku record video kwenye Full High Definition yashapitwa na wakati, sasa hivi 4K ndio mpango mzima.

Simu ina uwezo wa kutumia line mbili.. SIM card 1 itatumia 4G LTE na SIM card 2 utaweza kutumia 3G.. mhh... wengi tunajua simu za line mbili moja inakuwa na 4G na nyingine inakuwa na 2G.. Kwenye Mate 9 mambo kidogo ni tofauti. Nisiongee sana ukitaka kuijua hii simu vizuri basi tembelea link chini
http://consumer.huawei.com/en/mobile-phones/tech-specs/mate9-en.htm

LG V20



LG V20 naye ni mnyama mwingine anayekuja na android 7 (nougat) kutoka kwenye box. Kioo chenye ukubwa wa 5.7 inch Quad HD (High Definition). Simu inakuja na USB Type-C™ pamoja na Qualcomm® Quick Charge™ 3.0*. Battery ina ukubwa wa 3,200 mAh na unaweza kuitoa pia Simu ina 64GB internal Storage RAM 4GB na inaweza kutumia memory card hadi yenye ukubwa wa 2TB..Dah dah.....

Camera ya nyuma ina ukubwa wa 16MP na ile ya mbele ina ukubwa wa 5MP. Unaweza pia kuchua slow motion video. Simu ina uwezo wa kutumia line moja. 4G LTE kama kawaida. Kiukweli LG V20 sio simu ya mchezo unaweza kujua sifa zake nyingine kwa kutembelea link chini
http://www.lg.com/us/mobile-phones/v20/specs

SAMSUNG GALAXY S7 & S7 EDGE

Kitu cha kwanza kabisa ambacho Samsung Galaxy S7 kinayo ni uwezo wa kutoingia maji. Hii ina maanisha utaweza kutumia simu yako hata sehemu yenye mvua au hata ukiwa sehemu za starehe kama beach au kwenye swimming pool.

Samsung Galaxy S7 inakuja moja kwa moja kutoka kwenye box na android (6.0.2)marshmallow. Unaweza ku-update na kutumia android 7 (Nougat). Samsung Galaxy S7 ina kioo chenye ukubwa wa 5.1-inch screen na 2,560x1,440-pixel resolution pamoja na processor ya Qualcomm Snapdragon 820 pamoja na 4GB ya RAM. Samsung Galaxy S7 pamoja na Samsung Galaxy S7 Edge zote zina camera ya nyuma yenye 12 megapixel. Kujua zaidi kuhusu hii simu unaweza tembelea link chini
https://phonetricktz.blogspot.com/2016/02/samsung-galaxy-s7-kipi-unachotakiwa.html

ONEPLUS 3T

Never Settle ni slogan ya OnePlus, mimi binafsi napenda sana hiyo Slogan. Turudi kwenye OnePlus 3T, Hii ni simu ambayo ina Ram kubwa hadi kufikia 6GB na memory ya ndani hadi 128GB. Kwa kifupi ukiwa na hii simu hauitaji tena Memory card. Camera ya nyuma na ya mbele ina ukubwa wa 16MP . Pia OnePlus 3T inakuwezesha kuchukua video za 4K.

Bei ya hii simu ni $439 sawasawa na 1,010,000 Tanzanian Shillings. Uzito wa hii simu ni 158g urefu wa 152.7mm na upana wa 74.7mm. Kioo cha hii simu ni Corning® Gorilla® Glass 4, 1080p Full HD. Ukitaka kuijua hii simu kwa undani basi tembelea link chini
https://oneplus.net/3t/specs 

MAUJANJA KWENYE SIMU ZA ANDROID PART


Kiukweli simu za android zina mambo mengi sana na kama wewe ni mtumiaji wa simu za android yapo baadhi ya mambo ambayo unapaswa kujua kuhusu simu yako. Leo tutaongelea kuhusu screen density. Tutajifunza jinsi ya kuongeza au kupunguza screen density (dpi) kwenye simu yako android.

Kitu cha kwanza tunatakiwa tujue kuna umuhimu gani wa kuongeza au kupunguza screen density kwenye simu yako ya android? Kuongeza au kupunguza screen density kunasaidia vitu kuonekana vizuri kwenye simu yako. Mfano kuna simu unakuta ina maneno madogo sana na inakupa shida kuona au kusoma na kuna simu unakuta ina maneno makubwa sana au font size yake ni kubwa na wewe unataka font size ipungue kidogo basi cha kufanya ni kurekebisha screen density.

Kwenye matoleo ya android yaliyopita kuongeza au kupunguza screen density (dpi) ilikuwa ni swala gumu sana. Ili bidi mtumiaji wa simu ya android awe ame root simu yake ili aweze kupunguza au kuongeza screen density (dpi). Leo ntaonyesha njia ambayo unaweza kuongeza au kupunguza screen density (dpi) bila ku-root simu yako.

STEP 0

Ili uweze kuongeza au kupunguza screen density (dpi) inakubidi uwe na computer inayotumia windows, kisha tembelea link chini kwa kutumia computer yako
https://developer.android.com/studio/releases/platform-tools.html
Endapo utafanikiwa utapa muonekano kama picha chini

STEP 1

Bonyeza (click) sehemu iliyo andikwa SDK Platform-Tools for Windows, hakikisha umeweka tick sehemu iliyo andikwa I have read and agree with the above terms and conditions kama inavyo onekana kwenye picha chini kisha bonyeza download kama inavyo onekana kwenye picha chini

STEP 2

Baada ya kunaliza ku-download, lifungue file ulilodownload na ndani yake utakuta folder linaloitwa platform-tools. Lipeleke au move hilo folder (platform-tools) hadi kwenye root directory ya computer yako. Mfano computer yako ni Local Disc (C:) basi lipeleke hilo folder ndani ya Local Disk (C:) na kama computer yako ni Local Disc (D:) basi lipeleke hilo folder ndani ya Local Disk (D:). Mfano computer yangu ni Local Disk (C:) basi nitapata muonekano kama picha chini

STEP 3

Hakikisha kwenye simu yako Developer options ipo on na USB debugging ipo on kama kwenye picha chini

STEP 4

Fungua Command Prompt kwenye computer yako. Ili uweze kufungua Command Prompt kwenye computer yako, search neno cmd kwenye computer kisha fungua command prompt. Endapo utafanikiwa utapata muoenekano kama picha chini



Chomeka simu yako kwenye computer kwa kutumia USB Cable.

STEP 5

Kwenye command prompt andika maneno yafuatayo

cd c:\\

NOTE
Kama wewe local disk yako ni D basi andika cd d:\\ Kisha bonyeza Enter na utapata muonekano kama picha chini.

STEP 6

Kwenye command prompt andika maneno yafuatayo

cd platform-tools

Kisha bonyeza Enter na utapata muonekano kama picha chini.

STEP 7

Kwenye command prompt andika maneno yafuatayo

adb devices

Kisha bonyeza Enter na utapata muonekano kama picha chini.


NOTE
Mpaka hapo ina maanisha kwamba computer inaongea na simu yako. Hakikisha kabla ya kuendelea unapata muenekano kama picha juu.

STEP 8

Sasa tunataka tujue Screen density imesetiwa ngapi kabla ya kuibadilisha. Ili kuweza kujua screen density ni ngapi kwenye simu yako ya android basi kwenye command prompt andika maneno yafuatayo

adb shell dumpsys display

Kisha bonyeza Enter na utapata muonekano kama picha chini.

STEP 9

Sasa ukitazama picha juu, utaweza kugundua kwamba screen density yangu ni 480. Sasa mimi nataka kubadilisha screen density kutoka 480 na kuwa 460. Ili kuweza kubadilisha kutoka 480 na kwenda 460 basi kwenye command prompt andika maneno yafuatayo

adb shell wm density 460 && adb reboot

Kisha bonyeza Enter na utapata muonekano kama picha chini.


Note
Simu yako itajizima na kujiwasha. Kisha utaona mabadiliko kwenye simu yako.

STEP 10

Endapo unataka kujua kama screen density yako imepungua basi rudia kama ulivyofanya kwenye Step 8. Mfano kwangu nikirudia kama nilivyofanya kwenye Step 8 ntapata muonekano kama picha chini


Sasa kama wewe ni mjanja utagundua kwamba screen density yangu imepungua kutoka 480 na kwenda 460.

JINSI YA KUTENGENEZA APP YA BLOG KAMA YA MILLARDAYO.COM


Millardayo.com ina milikiwa na mtangazaji wa clouds maarafu kama Millardayo. Huyu jamaa anatangaza kipindi cha amplifier pia ni kijana anaye jishughulisha sana na mambo ya mtandao pamoja na technology. Vijana wengi wanatumia millardayo.com app kwenye simu zao lakini ni wachache sana ambao huwa wanajiuliza jinsi ya kutengeneza app kama ya millardayo.com.

Kabla ya kuanza kujifunza jinsi ya kutengeneza app kama ya millardayo.com ni vyema tujikumbushe kwanza masomo yaliyopita. Kwa wale ambao bado hawajajifunza jinsi ya kutengeneza android app part 1 na part 2 basi tembelea part 1 na part 2 chini
Fungua Android Studio kwenye computer yako. Kama hajui android studio ni kitu gani basi tembelea hizo link mbili juu kujua namna ya kuweka android studio. Kwa wale ambao wana android studio tayari, utapata muonekano kama picha chini



Kwenye application Name(Jina la app) andika Millardcopy
Company Domain andika phonetricktz.blogspot.com
Project location kwangu ni C:\Users\hubert\AndroidStudioProjects\Millardcopy. Kama unataka kuchagua sehemu nyingine ambapo unataka app yako ikae basi mbele kabisa ya kibox cha project location utaona vidoti vitatu vibonyeze kisha chagua ikae wapi app ya Millardcopy.
NOTE
Ni vyema ukatambua folder ambalo litakuwa linatumiwa na android studio kuhifidhi app yako ya Millardcopy. 
Baada ya kumaliza bonyeza Next kwenye program yako ya android studio na utapata muonekano kama picha chini



Hakikisha kipengele cha Phone and Tablet umechagua Minimum SDK kuwa API 19: Android 4.4 (kitkat). Hii ina maanisha kwamba, app tunayotengeneza (Millardcopy) itakuwa inafanya kazi kwenye simu zizazotumia android 4.4 na kuendelea. Haikisha android studio kwenye computer yako ina fanana na picha yangu hapo juu. Kisha bonyeza Next kisha utapata muonekano kama picha chini



Bonyeza sehemu inayosema Basic Activity kama inavyo onekana kwenye picha juu. Zipo activity mbali mbali lakin sisi tutatumia basic activity kwa leo. Activity ni kama UI (user interface) nikimaanisha muonekano wa app ya millardcopy utakavyokuwa kwa mtumiaji. Baada ya kuchagua Basic Activity bonyeza Next na utapata muonekano kama picha chini



Chini kabisa, bonyeza sehemu inayosema finish kisha subiri mdaa mchache wakati android studio ikiwa inakuandilia muonekano wa app yetu ya Millardcopy. Endapo utafanikiwa utapata muonekano kama picha chini.



Kwa leo tuishie hapa. Kama unataka kuendelea na hili somo bonyeza Part 4 chini. Kwa wale ambao walikosa masomo yetu yaliyopita basi bonyeza part 1 kujua tulipo anzia.